Kingad'a

Kingad'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wangad'a kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kingad'a imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingad'a iko katika kundi la Kibima-Lembata.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search